Posted on: September 11th, 2018
Mhe, Samia Suluhu Hassan afanya ziara Wilayani Buhigwe na kusisitiza upimaji wa virusi vya Ukimwi kwa wakina baba, pamoja na lishe kwa watoto.
...
Posted on: August 31st, 2018
Mkuu wa Mkoa Kigoma Mhe. Brig. Generali Mstaafu Emmanuel Maganga ameendesha zoezi la utoaji vitambulisho kwa wazee wasiojiweza kutoka kata 10 za Wilaya ya Buhigwe.
Zoezi hilo limefanyika leo asubuh...
Posted on: July 30th, 2018
Wananchi wa wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, wamejitokeza kwa wingi kumlaki Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa (MB) na kuiomba Serikali ya awamu ya tano kusaidia...