"Uzinduzi wa programu Jumuishi ya Taifa na Malezi, Makuzi na maendeleo ya Awali ya mtoto (MMMAM) Kwa halmashauri ya wilaya Buhigwe umezinduliwa rasmi Leo Tarehe 22/02/2024 na Mh.Mkuu wa wilaya Buhigwe Col.Michael M.Ngayalina"
Akiongoza zoezi la uzindizi, DC amesema programu hii inalenga kuwafikishia huduma watoto wenye miaka 0-5 kwa kuzingatia; Utoaji wa Elimu ya lishe mashuleni, ulinzi na usalama wa watoto,Malezi yenye Muitikio na Huduma za afya
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz