Posted on: August 6th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndug George Emmanuel Mbilinyi leo tarehe 06 mwezi Agosti 2025 ametembelea banda la Halmashauri hiyo kwenye maonesho ya nane nane ambayo yanafanyika...
Posted on: August 4th, 2025
Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi 2025 ngazi ya kata jimbo la Buhigwe leo tarehe 04 mwezi Agosti 2025 wameapishwa na Hakimu mkazi Mfawidhi Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Buhigwe Mh Straton Mosha...