HATUA ZA KUFUATA ILI KUMHAMISHA MWANAFUNZI KUTOKA SHULE MOJA KWENDA NYINGINE
uhamisho wa ndani ya wilaya:
Fomu hizo huishia kwa Afisa Elimu wa Sekondari na uhamisho
unakuwa umekamilika.
Uhamisho nje ya wilaya au mkoa:
RAS hukamilisha uhamisho huo kumpa barua ya kuruhusiwa
kuhama na kumwelekeza nakala nyingine apeleke kwa mkuu wa shule
anakotoka mwanafunzi ili afungashiwe taarifa zake kupeleka anakohamia.
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz