Matukio mbalimbali wakati Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Halmashauri ya Wilaya hiyo wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Kanali Michael Ngayalina walipotembelea katika hifadhi ya Mahale iliopo katika Wilaya ya Uvinza mkoa wa Kigoma mwanzoni wa mwaka huu.



Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz