Akiongoza kikao cha maafisa Elimu wilaya za Kigoma, Mratibu wa magonjwa ya mlipuko mkoa wa Kigoma amewataka maafisa elimu hao kuwa kielelezo kwenye elimu juu ya chanjo ya UVIKO-19 ili walimu, jamiii na wanafunzi wenye sifa za kupata chanjo kujitokeza kupatiwa chanjo hiyo
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz