Posted on: March 14th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe kanali Michael Ngayalina amewataka Wananchi wa wilayani humo kutumia nishati safi ya kupikia ya ruzuku iliyoletwa na serikali kwa ajili ya kutunza mazingira.
...
Posted on: March 14th, 2025
Wananchi Wilayani Buhigwe wametakiwa kuacha imani potofu na kujitokeza kwa wingi kujiandikisha muda utakapowadia ili kupatiwa vyandarua vyenye dawa kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa malaria nchin...