Posted on: October 1st, 2022
Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 Wilayani Buhigwe leo October 01 umepitia na kuzindua miradi yenye zaidi ya Milioni 900 na kuridhia, kuzindua na kuweka jiwe la Msingi.
...
Posted on: August 26th, 2022
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe ambao ni Wanachama, wapenzi na washabiki wa Klabu ya Mpira wa Miguu SIMBA SC wamekabidhi Jumla ya Mifuko 46 ya Saruji kwa ajili ya Ujenzi wa Zahanati ya K...
Posted on: August 4th, 2022
Mhe. Michael Ngayalina, Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe amesisitiza uzalendo na kujituma kwa Vijana waliochaguliwa kutekeleza zoezi la Sensa ya Watu na Makazi katika wilaya ya Buhigwe.
Pamoja na Hayo Mhe...