Posted on: August 6th, 2019
Wazee ni Hazina hivyo lazima tuwatunze, tuwalinde na tuwahudumie. Ni baraka kubwa sana kupata zawadi hii, tunaamini wazee bado wana akili na nguvu za kufanya shughuli za ujasriamali kujiingizia kipato...
Posted on: June 27th, 2019
Shirika la Help Age International limetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa Wazee na Walemavu wilayani hapa mapema leo katika viunga vya Ofisi ya Mhe. Mkuu wa Wilaya. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja n...
Posted on: May 20th, 2019
Kamati ya lishe Wilaya ya Buhigwe imefanya ufuatiliaji na kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya lishe bora kwa mtoto chini ya miaka miwili pamoja na mama mjamzito kupitia mradi wa Mtoto Mwerevu.
M...