Posted on: December 15th, 2020
Waheshimiwa Madiwani wilayani Buhigwe wameapishwa leo Jumanne katika ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi sanjari na kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu wake.
Akizungumza mbele ya wahe...
Posted on: December 9th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Col. Michael M. Ngayalina ameshiriki zoezi la kupanda miti eneo la Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji (W) zilizoko mji wa Bwega wakati wa sherehe za kumbukizi ya miaka 59 ya Uhuru ...
Posted on: October 30th, 2020
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Buhigwe Ndg. Anosta Lazaro Nyamoga amemtangaza Mhe. Dkt. Philip Mpango kuwa ndiye Mbunge wa jimbo la Buhigwe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufuatia matokeo ya ...