Posted on: November 27th, 2024
Wananchi wa Wilaya ya Buhigwe mkoa wa Kigoma leo tarehe 27 mwezi Novemba wamejitokeza kwa wingi kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa.
#uchaguziwaserikalizamitaa2024
...
Posted on: November 21st, 2024
TUFANYE YOTE LAKINI TUSISAHAU KUJITOKEZA KUCHAGUA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ITAKAPOTIMU 27 NOVEMBA 2024.
#uchaguziwaserikalizamitaa2024
#buhigwefahariyetu...
Posted on: November 19th, 2024
Buhigwe yafanya Kikao cha baraza la madiwani kwa robo ya kwanza ya mwaka 2024/2025 kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za Kata.
#uchaguziwaserikalizamitaa2024
#buhigwefahar...