Posted on: December 7th, 2024
Katika kuadhimisha Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Wilaya ya Buhigwe ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina na Mkurugenzi Mtendaji ndug George E Mbili...
Posted on: December 5th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina ameyataka Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali kuzingatia kanuni na sheria wakati wa utendaji kazi wao. Ameyasema hayo leo wakati akizungumza katika ki...