Posted on: November 29th, 2024
Wenyeviti wa vijiji,wenyeviti wa vitongoji,Wajumbe wa Halmashauri ya kijiji,kutoka katika kata 20 za Wilaya ya Buhigwe wameapishwa leo Novemba 28, 2024.
#buhigwefahariyetu...
Posted on: November 27th, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Mpango, leo tarehe 27 Novemba, 2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Dkt Mpango amepiga...