Posted on: November 10th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Justin Ngayalina leo tarehe 10 Novemba 2025 ameongoza zoezi la ugawaji wa Miche takribani 1,400,000 bure kwa Wakulima wa kata ya Kibwigwa, Mwayaya na Mkatanga ...
Posted on: November 7th, 2025
Wahandisi wa miundombinu wilayani Buhigwe wametakiwa kusimamia na kufuatilia kwa makini miradi inayotekelezwa katika Wilaya hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati.
Tamko hilo limet...