TANGAAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri nya Wilaya ya Buhigwe anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya Mtendaji wa Kijiji III na Msaidizi wa kumbukumbu daraja II zilizotangazwa kupitia tangazo la tarehe 04/12/2020 kuwa usaili wa mchujo (written interview) unatarajiwa kufanyika tarehe 08/02/2021 saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Buyenzi Buhigwe. Wasailiwa wote waje na vitambulisho.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz