Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe kupitia hospitali ya Wilaya hiyo imeadhimisha wiki ya Magonjwa yasiyo ya kuambukiza kwa kutoa elimu na upimaji wa magonjwa hayo kwa Watumishi na Wananchi juu ya magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo ugonjwa wa Selimundu,shinikizo la damu,kisukari,afya ya akili,saratani ambayo huadhimishwa kila mwaka kuanzia tarehe 10-15 Novemba.


Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz