Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo leo tarehe 13 Novemba 2025 imetembelea ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe na kukutana na Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Alphonce I. Haule na kuzungumza kuhusu utekelezaji wa zoezi la kupima afya ya udongo kwa kila wilaya linalofanyika katika mkoa wa Kigoma ikiwa ni mwendelezo wa shughuli ya upimaji wa afya ya udongo kwa nchi nzima inayotekelezwa na Wizara ya Kilimo.

Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz