Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 katika Wilaya ya Buhigwe, utakimbizwa Kilomita 37.3 katika maeneo mbalimbali na utafanya kazi za kukagua, kuweka Mawe ya Msingi,kutembelea na kuzindua klabu za kupinga dawa za kulevya na kupambana na rushwa Jumla ya gharama ya Miradi yote ni Shilingi 2,371,985,743
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz