Posted on: July 5th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndg. George Mbilinyi, leo Julai 5, 2024 ametembelea Ofisi mbali mbali za za serikali Wilayani Buhigwe kwa lengo la kufahamiana na kujenga umoja ...
Posted on: June 20th, 2024
Mkutano maalamu wa Baraza la Madiwani kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali za mwaka wa fedha 2022/2023 uliofanyika leo Tarehe 20 Juni 2024 katika ukumbi wa Halmashauri...