Posted on: December 5th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina ameyataka Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali kuzingatia kanuni na sheria wakati wa utendaji kazi wao. Ameyasema hayo leo wakati akizungumza katika ki...
Posted on: November 29th, 2024
Wenyeviti wa vijiji,wenyeviti wa vitongoji,Wajumbe wa Halmashauri ya kijiji,kutoka katika kata 20 za Wilaya ya Buhigwe wameapishwa leo Novemba 28, 2024.
#buhigwefahariyetu...