Mbio maalumu za mwenge wa Uhuru mwaka 2021 zimefika wilaya ya Buhigwe kwa kuzindua na kuweka mawe ya msingi kwa miradi mbali mbali yenye dhamani ya zaidi ya Bilioni 2 kwa asilimia 100%
Akizungumza wakati wa kufunga mbio hizo, Kiongozi wa mbio hizo Kanali Josephine Mwambashi aliipongeza wilaya kwa kujipanga vyema na miradi yote iliyotembelewa kufanikiwa.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz