Wakuu wa divisheni na vitengo wa halmashauri ya wilaya ya buhigwe wamewasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Robo ya Pili Octoba-Desemba 2023/2024 na kujadiliwa na wajumbe wa kamati za kudumu za halimashauri kulingana na kamati wanazo husika
wjumbe wamehiza wakuu wa divisheni/vitengo kuendelea kuchapa kazi kwa nguvu zao zote ili kuhakikisha buhigwe inasonga mbele. pia wamehimizwa kusimamia na kukamilisha miradi kwa wakati haswa ya kimkakati
Kamati hizo ni
Kamati ya uchumi,ujenzi na mazingira
Kamati ya kudhibiti Ukimwi
Kamati ya Huduma za jamii
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz