Kamati ya Fedha Uratibu na Mipango Wilaya Buhigwe yafanya ziara ya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa Wilayani humo haswa kwa kuzingatia ujenzi wa miradi hiyo kuonekana kutokamilika kwa wakati; miradi iliyotembelea ni Pamoja na
Hata hivyo akitoa majumuisho na maagizo baada ya ukaguzi wa miradi hiyo Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe Eles Goma amesema ujenzi wa miradi ambayo amefikia kiwango cha asilimia 90 ikamilike haraka iwezekanavyo ili ianze kutoa huduma kwa wananchi. sio hivyo amewataka wasimamizi wa miaradi hiyo kuwa makini katika usimamizi wa miradi haswa kusimamia vizuri matumizi ya Rasilimali Fedha.
Akitoa melekezo juu ya ukamilishaji wa miradi inayoendelea amewataka kuongeza kasi zaidi haswa ujenzi wa walk way na jengo la kusubiria wagonjwa (waiting area) kukamilika haraka iwezekanvyo kwa kuzingati matumizi ya miradi hiyo itakapo kamilika ni tija kubwa kwa wananchi.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz