Wednesday 22nd, January 2025
@SOKO LA MNADA
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURIYA WILAYAYA BUHIGWE, ANAWATANGAZIA UFUNGUZI WA MNADA WA MIFUGO UTAKAOANZA RASMI TAREHE 3/ JANUARI /2018
WAFANYABIASHARA WA MIFUGO, WAFUGAJI NA WANANCHI WOTE KUTOKA WILAYA NA MIKOA YA JIRANI MNAKARIBISHWA KUJA KUUZA NA KUNUNUA MIFUGO.
MNADA UTAKUA UNAFANYIKA SIKU YA JUMATANO YA KILA WIKI.
MNADA UPO BARABARA YA KASULU - MNANILA (MWANZONI MWA KIJIJI CHA BUHIGWE UKITOKEA KASULU NA MWISHONI MWA KIJIJI CHA BUHIGWE UKITOKEA MNANILA-MANYOVU).
PIA MNADA UTAKUA NA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA MASHAMBANI NA VIWANDANI.
WOTE MNAKARIBISHWA
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz