Thursday 25th, February 2021
@Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndg. Anosta Nyamoga, Anayofuraha kumkaribisha Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa (MB), Katika ziara yake itakayofanyika kuanzia Tarehe 30/07/2018. Miongoni mwa Shughuli zitakazo fanyika ni pamoja na kuweka jiwe la Msingi katika Hospitali ya Wilaya Ya Buhigwe.
Wananchi wote mnaombwa kufika bila kukosa katika kumpokea Waziri Mkuu wa Tanzania.
Mnakaribishwa Wote.
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz