Kamati ya Mipango na Fedha wilayani Buhigwe Imeridhishwa na Maendeleo ya Miradi ya Nyumba 10 za wakuu wa Idara pamoja na Majengo ya Hospitali ya Wilaya ambayo ni jengo la wanaume jengo la wanawake jengo la watoto jengo la dharura pamoja nyumba za watumishi maarufu kama theree in one
1.
.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz