Mkuu wa mkoa wa Kigoma IGP (mstaafu) Balozi Simon Sirro ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe kwa maonesho mazuri ya Wakulima.
Pongezi hizo amezitoa leo tarehe 08 mwezi Agosti 2025 alipotembelea banda la Halmashauri hiyo katika maonesho ya Wakulima (nane nane) kanda ya magharibi katika viwanja Vya Ipuli mkoa wa Tabora .
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz