Mamlaka ya usimamizi wa ununuzi Serikalini PPRA imefanya mafunzo ya mfumo wa ununuzi(NEST)kwa watumishi,Wasimamizi wa vituo vya Afya,Wahasibu na Watendaji wa vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe.
Kupitia mafunzo hayo wametakiwa kutumia mfumo huo kwa manunuzi yote ya umma na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa watakaokiuka utaratibu huo.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz