Takribani Ng’ombe 45000 zatarajiwa kuchanjwa ili kupambana dhidi ya ugonjwa wa homa ya Mapafu katika Wilaya ya Buhigwe.
Zoezi la uchanjaji wa Ng’ombe limeanza tarehe 20 Agosti 2025 na kutarajiwa kumalizika tarehe 20 Septemba 2025.
Idadi ya ng’ombe zilizochanjwa hadi sasa ni 5056 Mbali na utoaji wa chanjo, zoezi hilo litakwenda sambamba na utambuzi na usajili wa mifugo katika Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe hatua inayolenga kuimarisha takwimu sahihi za mifugo na uboreshaji wa huduma za sekta hiyo.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz