Jumla ya miradi nane (8) yenye thamani ya shilingi 672,790,000 imetembelewa na mwenge wa uhuru mwaka huu 2018. Aidha, Serikali kuu imechangia shilingi 533,290,000 sawa na 79%, Halmashauri shilingi 17,500,000 sawa na 3%, Wahisani shilingi 50,000,000 sawa na 7% na Wananchi shilingi 72,000,000 sawa na 11%.
Miradi miwili (02) ya yenye thamani ya shilingi 452,000,000 imewekewa mawe ya Msingi. Miradi hiyo ni Ukarabati Mkubwa wa Kituo cha Afya Janda na Ujenzi wa kituo cha Biashara
Miradi sita (06) yenye thamani ya shilingi 220,790,000 ilizinduliwa wakati wa Mwenge wa Uhuru mwaka 2018. Miradi hiyo ni ujenzi wa barabara ya Munzenze - Kigogwe, Ujenzi wa Madarasa 4 na vyoo matundu 10 Shule ya Msingi Kishanga, Mradi wa Klabu ya wapinga Rushwa Shule ya Sekondari Janda, Klabu ya Kupinga dawa za kulevya Shule ya Sekondari Yanza na Ujenzi wa Nyumba ya Kulala Wageni Muyama,
NA |
JINA LA MRADI |
SEKTA |
KIJIJI |
SHUGHULI |
UCHANGIAJI NA THAMANI YA MRADI |
||||
WANANCHI |
HALMASHAURI |
S/KUU |
WAHISANI |
JUMLA |
|||||
1 |
Matengenezo ya barabara ya Munzeze –Kigogwe
|
Ujenzi |
Kigogwe |
Ufunguzi |
0 |
0 |
46,690,000 |
0 |
46,690,000 |
2 |
Ujenzi wa Madarasa 4 na vyoo Shule ya Msingi Kishanga
|
Elimu |
Kishanga |
Ufunguzi |
15,000,000 |
4,000,000 |
86,600,000 |
0 |
105,600,000 |
3 |
Klabu ya Wapinga rushwa -Shule ya Sekondari Janda
|
Utawala |
Janda |
Uzinduzi |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
4 |
Ujenzi wa Kituo cha Afya Janda (Ujenzi wa Wodi, Jengo la upasuaji, Maabara na Nyumba ya Mtumishi)
|
Afya |
Janda |
Jiwe la Msingi |
0 |
0 |
400,000,000 |
0 |
400,000,000 |
5 |
Ujenzi wa Kituo cha Biashara Wilaya Buhigwe.
|
Biashara |
Buhigwe |
Jiwe la Msingi |
0 |
2,000,000 |
0 |
50,000,000 |
52,000,000 |
6 |
Klabu ya Wapinga Madawa ya Kulevya -Shule ya Msingi Biharu
|
Ustawi wa Jamii |
Muyama |
Ufunguzi |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
7 |
Ujenzi wa Nyumba bora Kijiji cha Muyama
|
Ardhi |
Muyama |
Ufunguzi |
57,000,000 |
0 |
0 |
0 |
57,000,000 |
8 |
Uwezeshaji wa vikundi vya Vijana na Wanawake
|
M/Jamii |
Muyama |
Ufunguzi |
0 |
11,500,000 |
0 |
0 |
11,500,000 |
|
JUMLA KUU |
|
|
|
72,000,000 |
17,500,000 |
533,290,000 |
50,000,000 |
672,790,000 |
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz