Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, Ndg. Essau Hosiana Ngoloka kwa niaba ya menejimenti na watumishi wa Halmasahuri hiyo amepokea zawadi ya Chrismas na Mwaka Mpya kutoka kwa kampuni inayojenga Bararabara Kutoka Kasulu hadi Manyovu, ZCCC ya nchini China.
Akitoa shukurani kwa wawakilishi hao, Mkurugenzi ameongeza kuwa amechukulia jambo hilo kama chachu ya kuendelea kuimarisha uhusiano baina ya Kampuni hiyo na ofisi yake.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz