Tume ya taifa ya umwagiliaji na kampuni ya EWM Consultance yatembelea Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa bonde la Janda kwa lengo la kuboresha miundombinu ya Umwagiliaji ikiwemo mifereji na ujenzi wa bwawa.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz