Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ng. Essau Hossiana Ngoloka kwa Niaba ya Watumishi wote wa Halmashauri hiyo anatoa Pongezi za dhati na shukrani kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kutimiza miaka miwili madarakani. Hakika amewezesha Vitengo na Divisheni kutekeleza majukumu kwa ubora.
Mbadiliko makubwa yameonekana kwa kipindi hicho pekee Miradi mbali mbali ya ELIMU, AFYA, KILIMO, MAZINGIRA, TEKNOLOJIA imetekelezwa
Tunasema Hongera na Aksante
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz