Mbio za mwenge wa uhuru wilaya ya Buhigwe kwa mwaka 2017 zilifanyika tarehe 27-28/07/2017 wilayani hapa, ambapo Jumla ya miradi saba (7) yenye thamani ya shilingi.1,946,132,975 imetembelewa na mwenge wa uhuru mwaka huu 2017 na kuzinduliwa/kuweka jiwe la msingi.
Aidha, Serikali kuu imechangia shilingi 1,819,532,975 sawa na 94% Halmashauri shilingi 14,200,000 sawa na 1%, Wahisani shilingi 87,000,000 sawana 4% na Wananchi shilingi 25,400,000 sawa na 1% katika kufanikisha uzinduliwaji wa miradi hiyo.
Mbali na uzinduzi wa miradi hiyo, mbio za mwenge kwa mwaka 2017 zilibeba jumbe nne (4) kuu kuwafikishia wananchi
Miradi ambayo mwenge wa uhuru kwa mwaka 2017 ilizindua wilayani Buhigwe ni kama ifuatavyo:
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz