Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Luteni Kanal. Michael Masala Ngayalina. Amefanya ziara yake ya kwanza katika kutekeleza na kusikiliza kero za wananchi katika ngazi za Kata na Vijiji. Katika ziara hii alizungumzi maendelo ya wananchi katika nyanja mbali mbali. Alizungumzia huduma bora kwa wananchi wa kata ya Munzeze. Miongoni mwa maendeleo hayo ni pamoja na huduma bora kwa wananchi upande wa maji safi na salama, Afya kwa mama na mtoto, Huduma ya afya kwa wazee wenye umri wa miaka 60. Barabara pamoja Bima ya afya. Kwakutambulisha Kuku wawili matibabu ya afya kwa mwaka mzima na kwa familia yako na kutibiwa hadi kwenye ngazi ya mkoa.
"Hakikia ziara hii imetia moyo juu wa watu wengi walio itikia katika ziara hii yangu ya kwanza katika kata yenu, naomba niwaambie kuwa maaendeleo ya eneo husika huletwa na watu wa eneo husika, namimi naona kuwa mpo tayari kwaaji ya maendeleo yenu. Niwapongeze kwa hilo"
Katika ziara hiyo, Mhe. Mkuu wa Wilaya aliongozana na wakuu wa idara/ Vitengo kwaajili ya kujibu hoja mbali mbali. Miongoni mwa hoja zilikuwa pamoja na migogoro ya ardhi. ambapo mwanasheria wa Halmshauri pamoja na mpima ardhi wa Halmashauri walifafanua na kutoa utatibu wa kufanikwa kufikia muafaka wa migogo hiyo.
Mhe. Mkuu wa Wilaya, pia laifanikiwa kufanya ziara katika kituo cha afya Janda ambacho kipo katika kata ya Janda, nakuagiza kituo hicho kinatakiwa kuisha ndani ya mwezi wa kumi mwaka huu.
"Mkanga mkuu kwa kushirikiana na Afisa Manunuzi na Dmo hakikisheni jengo hili linakamilika kwa wakati tuliio kubaliana, ili hudma hii tunayoitarajia tuipate kwa wananchi wetu".
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz