Kikao cha Kamati ya Lishe Wilaya ya Buhigwe kwa kipindi cha Oktoba-Disemba 2024 kimefanyika leo Tarehe 16/01/2025 kikiwa na maadhimio yafuatayo.
1.Kufanya tafiti za hali ya lishe kwa watoto chini ya miaka 5.
2.Udhibiti wa usalama wa chakula:
a)Ukaguzi wa ubora wa chumvi (Juu ya uhifadhi unafaa na wenye ubora kwa shuleni,madukani na sokoni).
b)Ukaguzi wa ubora na usalama wa chakula (sokoni, madukani, migahawa).
3.Utekelezaji wa zoezi la Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji (SALIKI).
4.Elimu ya lishe kvva vijana balehe.
5.Usimamizi shirikishi wa utoaji chakula shuleni.
6.Kufanya vikao vya kamati ya lishe kila robo na vikao vya tathmini ya lishe.
7.Matibabu ya utapiamlo
8.kuendelea kutoa elimu ya lishe kwenye jamii na namna bora ya kuepuka magonjwa yasiyoambukiza
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz