Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndug George Emmanuel Mbilinyi leo tarehe 06 mwezi Agosti 2025 ametembelea banda la Halmashauri hiyo kwenye maonesho ya nane nane ambayo yanafanyika katika viwanja vya Ipuli mkoa wa Tabora kwa kanda ya Magharibi.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz