Hayo yamejiri leo Desemba 15, 2023 kwenye Kikao kazi kilichowashirikisha Watumishi wa Halmashauri Makao makuu, Wakuu wa Divisheni na Vitengo, Watendaji wa Kata, Vijiji, Waganga wafawidhi wa Vituo vya Afya na zahanati, Kamati ya Usalama ya Wilaya ambapo Mhe. Michael Ngayalina, Mkuu wa Wilaya alizungumza na watumishi hao na kutoa maelekezo, Awali kabla ya kusikiliza kero za Watumishi mawasilisho mbali mbali kutoka kwa wakuu wa Divisheni na Vitengo na kamati ya Ulinzi na usalama waliwasilisha maada kutoka kwenye Maeneo yao.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz