• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za ofisi |
Buhigwe District Council
Buhigwe District Council

Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo Wa Utawala
    • Idara
      • Utawala Na Utumishi
      • Mipango, Takwimu Na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha Na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Secondari
      • Maji
      • Mifugo Na Uvuvi
      • Ardhi Na Maliasili
      • Maendeleo Ya Jamii Na Ustawi Wa Jamii
      • Ujenzi Na Zimamoto
      • Kilimo,Umwagiliaji Na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi Wa Ndani
      • Habari Na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kiutalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Kuonana na Mhe.Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayotarajiwa Kufanywa
    • Miradi Inayoendelea Kufanywa
    • New Planned Project
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Other Fomu
    • MpangoKazi
    • Baraza-Madiwani
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

DC NGAYALINA AGAWA VIFAA KWA WENYE ULEMAVU NA WAZEE – BUHIGWE

Posted on: March 15th, 2024
  • Agawa Jumla ya Vifaa 182 (Baiskeli za Miguu mitatu 4, Magongo ya kwapani 50, Magongo ya kiwiko 50, na Fimbo za wazee 78.

  • Vifaa vina thamani ya Zaidi ya Milioni 10
  • Vimetolewa na wafadhili Help Age Tanzania
  • Awashukuru wafadhili kwa namna wanavyoshughulikia changamoto za walemavu
  • Awataka wanufaika kuzingatia utunzaji na kuwa na kuendelea kuwa moyo wa Shukrani
  • Aipongeza Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kwa Uratibu mzuri kufanikisha zoezi
  • Awakumbusha wananchi namna Takwimu za SENSA zinavyoleta matokeo chanya ikiwa ni Pamoja na Idadi ya wenye Ulemavu ili kufikiwa kwa huduma
  • Ndg. Clement (Afisa Ustawi) aitaka Jamii kuacha kuwaficha wenye Ulemavu ili wafikiwe.
  • Muwakilishi Help Age Tanzania afurahia ushirikiano ndani ya Wilaya na kusisitiza Lengo ni huduma Bora kwa wenye Ulemavu na Wazee

Hayo yamejiri leo Ijumaa Tarehe 15.03.2024 kwenye Zahanati ya Buhigwe Kata ya Buhigwe wakati wa uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa Vifaa saidizi kwa Wazee na wenye ulemavu ndani ya Halmashauri hiyo ambavyo vimetolewa na Shirikia linalojihusisha na kusaidia wazee wasiojiweza na wenye ulemavu ambapo Mhe. Michael Masala Ngayalina, Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe amekuwa mgeni Rasmi wa zoezi hilo la Ugawaji wa Vifaa hivyo.

Hata hivyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Christopher Kajange ameendelea kusisitiza Jamii kuacha dhana potofu ya kuwaficha walemavu na kuitaka jamii kuweka wazi taarifa za wenye ulemavu mbali mbali ili serikali iwafikie

Ndg. Clement Ndagika ameongeza kwamba ili kuwafikia wenye Ulemavu na wazee Zaidi zoezi hilo litaendelea kwenye Kanda nne ndani ya Halmashauri ili kufikia wenye uhitaji Zaidi. Wilaya ya Buhigwe ina Jumla ya watu wenye ulemavu 2,691 (KE 1,476 na ME 1,195) na Wazee 17,597 kati ya Jumla ya watu 240,005 (ME 112M684 na KE 127,321) katika sensa ya mwaka 2022

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI - 04.07.2023 June 23, 2023
  • KILA KHERI DARASA LA SABA September 12, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - OKTOBA 2023 October 09, 2023
  • TANZIA February 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED BUHIGWE ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA.

    May 05, 2025
  • MATOKEO 2024 WALIMU NA WANAFUNZI WAPONGEZWA.

    April 17, 2025
  • BABA ASKOFU EMMANUEL BWATA AITIKIA WITO WA MKURUGENZI BUHIGWE.

    April 14, 2025
  • SHEREHE YA KUWAAGA WATUMISHI NA KUWAKARIBISHA WATUMISHI BUHIGWE YAFANA.

    April 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe kuanza kutoa huduma za Afya
Video Zaidi

Kurasa Za Karibu

  • Kuhamisha Mwanafunzi
  • Tovuti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep Documentation
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • Wahe. Madiwani
  • BEMIS

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bunge La Tanzania
  • Ikulu
  • Bodi Ya Manunuzi na Ugavi
  • Wizara ya Ardhi
  • Wizara ya Elimu, Sayansi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi

    Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe

    Simu Ya Mezani: 0282988460

    Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333

    Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Mwanzo

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Buhigwe. Haki zote zimehifadhiwa