Katika kuadhimisha kumbukizi ya miaka 53 ya Kifo cha Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambae ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar,Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hii Ndug George Emmanuel Mbilinyi wametembelea na kufanya usafi katika mradi wa Ukarabati na Uendelezaji wa kituo cha Rasilimali za Kilimo,Mifugo na Uvuvi kilichopo Katika kata ya Kibwigwa Wilayani hapo.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz