Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe kwa kushirikiana na Shirika la chakula na Kilimo la Umoja wa Kimataifa(FAO) na Mamlaka ya maabara za mifugo Tanzania (TVLA) na Taasisi ya Kupambana na magonjwa yanayoweza kuvuka mipaka (ECTAD) inatarajia kuanzisha ujenzi wa maabara ndogo ya mifugo itakayotumika kufanya upimaji na utambuzi wa magonjwa yanayoweza ambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz