Timu ya mpira wa miguu chini ya umri wa miaka 20 Wilaya ya Buhigwe yaibuka kidedea kwa ushindi wa magoli 4 kwa 1 dhidi ya Wilaya ya Kasulu ikiwa ni hatua ya mtoano kuelekea mashindano ya ujirani mwema yanayojulikana kama (LAKE TANGANYIKA CUP-2025) kati ya mkoa wa Kigoma Tanzania na mkoa wa Makamba nchini Burundi yanayotarajiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka 2025.



Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz