Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndug George Emmanuel Mbilinyi wameendelea kujinoa kuelekea mchezo wa kirafiki unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 mwezi Agosti na Kigoma Manispaa ikiwa ni maandalizi ya Mashindano ya Watumishi wa Serikali za Mitaa 2025 maarufu kama SHIMISEMITA yanayotarajiwa kuanza tarehe 15 mwezi Agosti jijini Tanga.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz