Ziara ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ziara hii ilifanyika tarehe 11/09/2018 katika kata ya Munzeze.