Meneja wa NMB Buhigwe Bi Pendo Waziri ameshiriki katika kikao kazi na watumishi wa Idara ya afya wilaya buhigwe ambapo ameongea na watumishi na kuhusu utoaji wa huduma bora kwa wateja a Pamoja na hayo;
-Watumishi wa afya wamekumbushwa kutoa huduma bora kwa wateja
-Waaswa kuzingatia na kufuata taratibu na sheria za utumishi wa umma katika utoaji huduma
-wahimizwa kutumia kauli na lugha nzuri kuwahudumia wateja ili kuwa balozi kwa jamii
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz