Rai hiyo imetolewa NdgMasele Masindi (Katibu tawala wa Wilaya) aliyemuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe. Ameyasema hayo mbele ya Watoto 44 waliowakilisha Watoto wote wa wilaya ya Buhigwe kutoka katika kata 20 leo Juni 8, 2021 katika Ufunguzi wa Baraza la Watoto la Wilaya
Baraza hilo liliambatana na uchaguzi wa viongozi wawakilishi wa Watoto katika Baraza la Watoto la wilaya ambapo Mtoto Enjoy mmm aliibuka Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti
Pamoja na hayo Ndg. Masindi alisistiza majukumu wanayotakiwa kuyatambua na kuyasimamia katika uongozi wao ikiwa ni Pamoja na
Mwenyekiti wa Halmashauri Ndg. Venance Kigwinya alisisitiza dhamira ya dhati ya serikali kuwapenda Watoto kwa kuendelea kuboresha mazingira bora yasiyo hatarishi katika kujenga Taifa imara.
Awali akisoma taarifa ya Baraza la Watoto Bi. Sjdjsj alitaja changamoto za upatikanaji wa ….,..sss.,
TRA KUPANUA WIGO WA HUDUMA BUHIGWE
Katika kuhakikisha huduma zinawafikia wananchi hasa wafanyabiashara, TRA imepanga kupanua wigo wa huduma zake wilayani Buhigwe ikiwa ni Pamoja na Kuweka Kituo cha forodha mahali litakapojengwa Daraja linalounganisha Kata ya Kilelema, Buhigwe na
Hayo yamesemwa na Meneja wa Forodha mkoa Ndg. Hshshs katika kikao kilichoshirikisha wataalamu kutoka ofisi ya Mkurugenzi na Maafisa wa TRA mkoa na wilaya.
Pamoja na hayo Ndg. Sfsfsf ameongeza
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz