Mhe. Michael Ngayalina, Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe amesisitiza uzalendo na kujituma kwa Vijana waliochaguliwa kutekeleza zoezi la Sensa ya Watu na Makazi katika wilaya ya Buhigwe.
Pamoja na Hayo Mhe. Ngayalina alisisitiza uwajibikaji na Juhudi kuona kuwa zoezi hilo linakamilika kwa wakati na kwa usahihi na kutokuacha mtu yeyote anayestahili kuhesabiwa kuachwa
Zoezi la SENSA wilayani humo limeanza kwa Mafunzo yaliyogawanywa katika kanda Nne ambapo Mafunzo yanaendelea Vyema.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz