Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe kwa kushirikiana na Shirika la “CARE International” (Tanzania) itatekeleza mradi wa kuwezesha Wakulima wadogo wa kike.
“CARE international” (Tanzania) imepanga kutumia USD 150,000 kuboresha kipato cha mkulima na kubadilisha sekta ya kilimo.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndug George Emmanuel Mbilinyi amesema kuwa wapo tayari kushirikiana na shirika hilo kwa hali na mali ili kufikia malengo ya mradi kama ilivyokusudiwa.
Mradi huo utaimarisha usalama wa chakula wa kaya,kuongeza tija kwa wakulima na mapato ya Halmashauri.
#uchaguziwaserikalizamitaa2024
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz