Tarehe: 20.08.2021 - Bukuba, Buhigwe
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Masala Ngayalina ameshiriki katika ujenzi wa daraja la mawe katika Kijiji cha Bukuba, Kata ya Bukuba wilayani hapa leo Agost 20.08.2021
Kukamilika kwa ujenzi wa daraja hili kutasaidia wakulima kusafisha mazao yao kutoka shambani kuelekea soko
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz