Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya wilaya ya Buhigwe Bi Marycelina Mbehoma anapenda kuwaalika wakazi wote wa wilaya ya buhigwe kujitokeza kikamilifu katika zoezi la kujiandikisha kwenye orodha ya daftari la wapiga kura linaloanza tarehe 8/10/2019 hadi 14/10/2019 kwa kata zote 20 na vijiji 40 kwa vitongoji vyote ili waweza kuchagua viongozi kwa ngazi za mbalimbali (kata, vijiji na vitongoji)
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz